ThinkArena Online Course
Mfumo Sahihi wa Masoko
Mwalimu: John Peter
Kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuelewa masoko kwa uhalisia wa biashara za kila siku. Utajifunza namna ya kuvutia wateja, kuwasilisha bidhaa au huduma yako vizuri, na kuongeza mauzo kwa kutumia mbinu rahisi na za kisasa.
Utajifunza nini?
- Kuelewa msingi wa masoko ya kisasa
- Namna ya kupata na kuhifadhi wateja
- Mbinu za kuongeza mauzo kwa vitendo
- Jinsi ya kuitangaza biashara yako vizuri
Kozi hii inamfaa nani?
Wajasiriamali, wanafunzi, wafanyabiashara wadogo, na mtu yeyote anayetaka kujifunza namna ya kufanya masoko yenye matokeo.
Maoni